Nuacht

Watafiti wa eneo hili la hisia wanatuambia kuwa hisia, kama eneo muhimu katika makuzi, ni zao la uhusiano wa karibu baina ya ...
Makongamano ya aina hii yanapaswa kuwa endelevu tukizingatia kwamba hilo ndilo kongamano mama la makongamano yote.
Kwa mujibu wa takwimu hizo jumla ya wanafunzi 158,374 waliacha shule za msingi na wengine 148,337 wakiacha sekondari mwaka ...
Magereza mapya nane yamejengwa, hospitali ya Dodoma na kutumia TEHAMA katika magereza 66. Zimamoto imepata magari 12, vituo ...
Amesema tuzo hiyo inawapa nguvu ya kusonga mbele kwa kasi na kuwa wamedhamiria kuboresha miundombinu yake yote ikiwemo ya ...
Taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Issa Suleiman iliyotolewa leo Jumatatu, Juni 30, 2025 imeeleza tukio hilo limetokea Juni 27, 2025 saa 12 jioni katika Kijiji cha Lupaso mtaa wa Misheni.
Bajeti hiyo inayoanza kutekelezwa kesho, inang’ata na kupuliza kwa wafanyabiashara na bodaboda ambao wameondolewa baadhi ya ...
Akisoma taarifa ya mwaka ya mashirika yasiyo ya kiserikali (NGO) mkoani Geita, Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Nelico, Alex ...
Licha ya Baraza Kuu la Chadema kuwavua uanachama wabunge hao baada ya kukaidi wito wa kwenda kuhojiwa kuhusu tuhuma za kwenda ...
Hili linasemwa wakati ambao tayari utekelezaji wa sheria ya bima ya afya kwa wote umeanza, huku utaratibu maalumu ukiwa ...
Mchungaji Laizer aliyekuwa Mkuu wa Jimbo la Magharibi amesimikwa leo Juni 30, 2025 katika Kanisa la KKAM Dayosisi ya Arusha ...
Kwa mujibu wa Latra, watoa huduma ambao mfumo wao wa tiketi mtandao hausomani na mifumo ya Serikali hawataruhusiwa kuendelea ...