News

Dk Mwinyi ametoa kauli hiyo leo Jumatatu Juni 30, 2025 wakati wa mahafali ya kwanza ya wahudumu wa afya ngazi ya jamii ...
Profesa Mohamed Janabi alikula kiapo Mei 28, 2025 mwaka huu ikiwa ni siku 11 tangu alipochaguliwa Mei 18, 2025 wakati wa ...
Mkurugenzi huyo mpya anachukua nafasi ya Arafat Haji aliyekuwa akishikilia nafasi hiyo kwa takriban mwaka mmoja tangu ateuliwe kushika nafasi hiyo Mei 10, 2024.
Dk Gwajima amesema hayo leo Jumatatu Juni 30, 2025 katika uzinduzi wa dawati la huduma za kijamii uliofanyika Stendi ya ...
Amesema kuna baadhi ya watumishi wanaomba ruhusa kuwa wanaumwa, ila baadaye anakutwa kwenye viwanja vya mpira au matukio mengine tofauti na alichokisema jambo ambalo sio sahihi na kinyume ...
Baba wa bibi harusi, Jaffary Michael, amesimulia alivyopewa taarifa ya ajali mbaya ya mabasi wakati sherehe ikiendelea, ...
Mchakato huo unatarajiwa kukamilika Julai 2, 2025 ambapo tayari wabunge wanaotetea majimbo yao, wabunge wa zamani, watoto wa ...
Chama hicho kinaungana na vyama vingine vikiwemo Chama Cha Mapinduzi (CCM) na ACT-Wazalendo, ambavyo tayari vimeshatangaza ...
Hukumu ya kesi ya mauaji ya mfanyabiashara wa madini yenye kurasa 60 na maneno zaidi ya 13,000 imejengwa juu ya ushahidi wa ...
Hukumu ya kesi ya mauaji ya mfanyabiashara wa madini yenye kurasa 60 na maneno zaidi ya 13,000 imejengwa juu ya ushahidi wa ...
Msajili ametoa kauli hiyo katika kipindi ambacho joto la uchaguzi mkuu linazidi kupanda ndani ya vyama 18, vilivyopo kwenye ...
Mkurugenzi wa Kampuni ya mikopo ya Atlantic Micro Credit Limited, Wendy Ishengoma na wenzake watatu wanakabiliwa na tuhuma za kuendesha biashara ya upatu na kutakatisha Sh3.6 bilioni.