ニュース

Mtaalam wa Uchumi Masumbuko Mwaluko, amechukua fomu kuomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kumteua kugombea ubunge katika ...
Mmiliki wa mgodi wa Ikombo Hill uliopo katika Kijiji cha Matonya, Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Doreen Kissia, ameibuka ...
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko, amesema Tanzania, inatarajia kuzalisha umeme unaotokana na nyuklia utakaojumuishwa katika Gridi ya Taifa, ili kukabiliana na ongezeko la mahita ...
KAIMU Balozi wa Marekani nchini, Andrew Lentz, ameeleza dhamira ya nchi yake kushirikiana na Tanzania katika kutumia Bandari ...
THE High Court in the Mbeya Zone is proceeding with the case filed by Sije Mbigi, the wife of prominent human rights activist ...
HALMASHAURI ya Manispaa ya Shinyanga, imevuka lengo la ukusanyaji mapato ya ndani katika mwaka wa fedha 2024/2025 na ...
The Port of Mtwara is drawing growing international attention as Tanzania strengthens its role in regional trade through ...
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Wilaya ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Theobald Mworia, ameingia katika orodha ya vigogo ...
SEHEMU ya kwanza ya ripoti hii maalum Jumapili iliyopita, ilieleza tatizo la mfumo dume na athari zake kwa jamii, wanawake na ...
WIZARA ya Viwanda na Biashara, imesema viwando vyote vilivyokufa na kugeuzwa magofu au magodauni nchini, vitarejeshwa ...
BARAZA la Tiba Asili na Tiba Mbadala (TAHPC) Tanzania, limewataka wanaume nchini kujenga tabia ya kunywa chai ya tangawizi mara kwa mara, kwakuwa itawasaidia kuimarisha nguvu za kiume pamoja na mfumo ...
Led by Professors Pattie Maes and Cynthia Breazeal—both global leaders in media technology and human-computer interaction—the study tracked how students’ brains reacted while using AI to write essays ...