Nieuws
JESHI la Polisi mkoani Mtwara linamshikilia mkazi wa kijiji cha Lupaso kitongoji cha kadudu Wilaya ya Masasi mkoani humo Victor Fransis (39) kwa tuhuma za mauaji ya mchungaji wa Kanisa la Tanzania ...
Katika taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa leo tarehe 30 Juni 2025, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmaeil ...
KLABU ya Arsenal wanawasiliana na kambi ya Eberechi Eze kuhusu uhamisho majira ya joto. Mazungumzo ya awali yalifanyika huku Arsenal ikiwa imefahamishwa vyema kuhusu masharti ya mkataba wa mwisho na ...
IRINGA; DAKTARI kijana mwenye historia ya kuaminiwa katika uongozi na siasa, Dk Musa Leonard Mdede amechukua rasmi fomu ya kuwania uteuzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea ubunge wa Jimbo la ...
Tanzania, Dar es Salaam, 1 Julai 2024 – Kampuni ya usafiri wa mtandaoni, Bolt, inaendelea kuongoza kwa kushikilia asilimia 70 ya soko la huduma za usafiri nchini. Mafanikio haya yanachangiwa kwa kiasi ...
UGANDA : RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni (80), ametangaza rasmi nia ya kugombea tena urais katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Januari mwaka ujao, hatua itakayomfanya kuongeza muda wake wa ...
DAR ES SALAAM: KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Emmanuel Mkuchu, amekamilisha hatua ya awali ya kugombea nafasi ya udiwani kwa kurejesha fomu ya kuwania nafasi hiyo katika Kata ya Kunduchi, jijini ...
KYIV, UKRAINE : RAIS wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy, ametia saini amri ya kuiondoa rasmi nchi yake kutoka kwenye Mkataba wa Ottawa wa mwaka 1997, unaopiga marufuku matumizi, utengenezaji, ...
IRINGA: MWANASOKA wa zamani wa timu ya Yanga SC, Ally Msigwa, amejitosa rasmi katika mbio za kisiasa baada ya kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa kuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia ...
SUMBAWANGA: MJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Mbonimpaye Ntiyonza Nkoronko amechukua rasmi fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Sumbawanga Mjini kupitia chama hicho. Awali akitia ...
TEHRAN : SERIKALI ya Iran imetangaza kutokuwa na imani na hatua ya Israel ya kutangaza usitishaji wa mapigano, ikisema bado ina shaka juu ya dhamira ya taifa hilo hasimu katika kuhitimisha mzozo ...
DAR-ES-SALAAM : CHAMA cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA) kimepata Mwenyekiti mpya wa Bodi, Dk Kaanaeli Kaale, ambaye ...
Sommige resultaten zijn verborgen omdat ze mogelijk niet toegankelijk zijn voor u.
Niet-toegankelijke resultaten weergeven