Nieuws

Uongozi wa klabu ya Yanga umeahidi usajili bora zaidi msimu ujao na kuweka wazi kuwa hakuna timu ya kuwashusha kwa mafanikio ...
RAIS wa Yanga, Hersi Said amesema anadaiwa ahadi moja kati ya tano walizoahidi walipopewa ridhaa ya kuongoza klabu hiyo.
“SISI ndio Wananchi...sisi ndio mabingwa...Aviola umetusikia...” Hizo ni baadhi ya nyimbo zilizohanikiza paredi la kihistoria ...
Rais wa Yanga Hersi Said, ofisa habari wa klabu hiyo Ally Kamwe na kiungo mshambuliaji Clatous Chama wameibuka washehereshaji ...
WAKATI mabosi wa Simba wakiendelea kujadiliana juu ya kumtema kipa Moussa Camara au la, taarifa kutoka klabu hiyo ya Msimbazi ...
WAKATI mabosi wa Singida Black Stars wakimpigia hesabu mshambuliaji nyota wa Berekum Chelsea ya Ghana, Stephen Amankonah kwa ...
STRAIKA Joshua Ibrahim aliyejiunga na Namungo katika dirisha dogo Januari, mwaka huu kutokea KenGold, kwa sasa imebaki yeye ...
BAADA ya mshambuliaji wa JKT Tanzania, Charles Ilanfya kukaa nje kwa msimu mzima akiuguza jeraha la goti la kulia aliloumia ...
KIPA wa Pamba Jiji, Yona Amos aliyemaliza nafasi ya nne kwa makipa waliokuwa na ‘clean sheets’ nyingi baada ya Moussa Camara ...
AZAM FC ni kama imepindua dili la vigogo waliokuwa wakimsaka beki wa Coastal Union, Lameck Lawi baada ya kuelezwa kwamba ...
MAAFANDE wa Tanzania Prisons wamegoma kushuka daraja kwa mara nyingine baada ya kuifumua Fountain Gate mabao 3-1 katika mechi ...
Ni shamrashamra, burudani na furaha ya aina yake katika makao makuu ya Klabu ya Yanga, ambapo mashabiki kwa maelfu wamefurika ...