News

Joto la Uchaguzi Mkuu 2025 linaendelea kupanda. Hii ni baada ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma ...
Rasmi Simba SC ina tiketi ya kushiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao 2025-2026, hiyo ni baada ya kufikisha pointi 66 katika msimamo wa Ligi Kuu Bara ambazo haziwezi kufikiwa ...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema uhusiano imara wa kidiplomasia na kihistoria kati ya Tanzania na Msumbiji hauakisi ...
Bunge limeombwa kuidhinishia Sh1.01 trilioni kwa ajili ya Wizara ya Maji kwa mwaka wa fedha 2025/26, huku vipaumbele sita vikiainishwa, kikiwemo cha utekelezaji wa miradi ya maji ...
Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Lazaro Twange anabainisha kile anachokwenda kukifanya ndani ...
Ikiwa ni siku ya saba tangu kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na mwanaharakati Mdude Nyagali, kuchukuliwa ...
Lebo ya muziki maarufu duniani kutokea Afrika, Mavin Record leo Mei 8, 2025 imetimiza miaka 13 tangu ilipoanzishwa tarehe ...
Sakata la Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Idrisa Kitwana, kuwataka wafanyakazi wa Serikali mkoani kwake wawasilishe kadi zao za mpigakura azikague, limeibukia Baraza la Wawakilishi, ...
Miezi michache iliyopita, Mwananchi iliripoti hali ya kiafya ya Meneja wa msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, Said Fella ...
Polisi nchini Kenya wamesema wamefanikiwa kupata bastola inayoshukiwa kutumika katika mauaji ya Mbunge wa Kasipul, Charles ...
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Crispin Chalamila ameshiriki mkutano wa 15 wa ...
Mtumishi wa umma aliyegeuka mwanasiasa. Mhusika muhimu katika ukuaji wa sekta binafsi. Kiongozi mwenye maono aliyeifanya ...