News
Chama hicho kinaungana na vyama vingine vikiwemo Chama Cha Mapinduzi (CCM) na ACT-Wazalendo, ambavyo tayari vimeshatangaza ...
Hukumu ya kesi ya mauaji ya mfanyabiashara wa madini yenye kurasa 60 na maneno zaidi ya 13,000 imejengwa juu ya ushahidi wa ...
Hukumu ya kesi ya mauaji ya mfanyabiashara wa madini yenye kurasa 60 na maneno zaidi ya 13,000 imejengwa juu ya ushahidi wa ...
Msajili ametoa kauli hiyo katika kipindi ambacho joto la uchaguzi mkuu linazidi kupanda ndani ya vyama 18, vilivyopo kwenye ...
Ameongeza kuwa jukumu lake kubwa ni kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora kupitia usimamizi makini wa fedha na miradi ...
Amesema mabaki ya miili 33 yamepelekwa kwa Mkemia Mkuu wa Serikali ili kuitambua na kuikabidhi kwa familia kwa ajili ya ...
Katika tukio nadra kutokea Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James amemwapisha Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Benjamin Sitta na baadaye kwenda kumkabidhi ofisi hiyo baada ya yeye kuteuliwa kwenye ...
Mkurugenzi wa Kampuni ya mikopo ya Atlantic Micro Credit Limited, Wendy Ishengoma na wenzake watatu wanakabiliwa na tuhuma za kuendesha biashara ya upatu na kutakatisha Sh3.6 bilioni.
Paredi la Yanga limesimamisha mwendokasi eneo la Msimbazi baada ya kusimama kwa muda wakati gari iliyobeba mataji, wachezaji na viongozi wa timu hiyo lilipofika eneo la jengo la watani zao Simba.
Matarajio ya kusherehekea harusi yamegeuka huzuni na majonzi kwa familia ya mzee Kiluvia, anayeishi Ngusero, Same Mjini, ...
Makada wa CCM wamezidi kujitokeza kuchukua fomu katika majimbo mbalimbali nchini wakiomba ridhaa ya kukiwakilisha Chama cha ...
Duke Abuya na Clement Mzize, wamekata kiu ya mashabiki wa Yanga baada ya kufanikisha kutwaa Kombe la Shirikisho (FA) katika ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results