News

WAKATI mwingine tunaona wachezaji walioumia wakiondoka uwanjani huku wakilia. Machozi yao hayatokani na maumivu tu. Machozi ...
STRAIKA wa Bayen Munich, Harry Kane ambaye amenyanyua taji lake la kwanza katika soka la kiushindani wikiendi iliyopita baada ...
MSANII anayetamba na kibao cha Afande, Dogo Paten amesema licha ya kwa sasa kuwa bize na kufanya shoo, pia anaumiza kichwa ...
BEKI wa Kitanzania, Haji Mnoga anayekipiga Salford City ya England amemaliza kibabe msimu akifunga bao moja na asisti nne.
HATMA ya Cristiano Ronaldo katika kikosi cha Al Nassr inadaiwa kuwa iko shakani baada ya mazungumzo ya kuongeza mkataba mpya ...
MSANII nyota wa filamu na muziki anayejishughulisha pia na ujasiriamali, Shilole amejishtukia na fasta ameamua kukimbilia gym ...
KOCHA wa timu ya taifa ya Soka la Ufukweni ya Tanzania (Beach Soccer), Jaruph Juma amesema kualikwa Oman kutawaongezea kitu ...
KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amefunguka kwamba timu yake itatumia fedha nyingi katika dirisha la majira ya kiangazi mwaka ...
DILI la beki wa kati wa zamani wa Simba anayekipiga FAR Rabat ya Morocco, Henock Inonga kutua Yanga limeibua mvutano mkali ...
VIGOGO wa Manchester United wamekataa kutoa tiketi za bure kwa wafanyakazi wa klabu kwa ajili ya fainali ya Europa League ...
MKOA wa Iringa umeanza mkakati wa kujenga uwanja wa kisasa wa gofu utakaojulikana kama Mkwawa Golf Course ili kuendeleza ...
SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF), limemteua mwamuzi wa kati, Pierre Ghislain Atcho kutoka Gabon kusimamia mechi ya kwanza ya ...