Nuacht

Miami, Marekani. Nahodha wa England, Harry Kane, ameendelea kuwa moto wa kuotea mbali baada ya kufunga mabao mawili katika ushindi wa Bayern Munich wa mabao 4-2 dhidi ya Flamengo kwenye hatua ya 16 ...
Zanzibar. Uganda imeibuka mshindi mkuu katika Tamasha la 28 la Kimataifa la Filamu (ZIFF) 2025 , ikichukua idadi kubwa zaidi ya tuzo katika makundi mbalimbali. Katika tamasha hilo, filamu ya ...
Lisbon, Ureno. Rais wa klabu ya Sporting Lisbon, Frederico Varandas, amethibitisha kuwa kuna uwezekano mkubwa mshambuliaji wao nyota, Viktor Gyökeres, ataondoka klabuni msimu huu wa kiangazi lakini ...
Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi ameizawadia klabu ya Yanga Sh100 millioni kwa kutambua ushindi na mafanikio makubwa ya klabu hiyo kwa msimu wa 2024/25. Zawadi hiyo ameitoa leo Jumatatu ...
Matarajio ya kusherehekea harusi yamegeuka huzuni na majonzi kwa familia ya mzee Kiluvia, anayeishi Ngusero, Same Mjini, ...
Wakati mikoa ya Lindi na Mtwara ikipunguza mimba za utotoni kutokana na utoaji elimu ya afya ya uzazi kwa vijana, kumeibuka ...
Marekani. Akiwa na rafiki yake wakitazama runinga katika chumba cha hoteli, David Beckham (50), alimuona Victoria (51), katika video ya wimbo wa kundi lake la Spice Girls, muda huo huo alivutiwa naye ...
Dar es Salaam. Siku moja baada ya Chama Cha Alliance Democratic For Change (ADC) kumpata mgombea urais wa Tanzania na Zanzibar, kada wa chama hicho na aliyewahi kuwa Mbunge wa Mwibara mkoani Mara, ...
Mshambuliaji wa Brighton ya England na timu ya taifa ya Wanawake, Twiga Stars, Aisha Masaka hatakuwa sehemu ya kikosi cha timu hiyo kitakachocheza mashindano ya Fainali za Mataifa ya Afrika kwa ...
Duke Abuya na Clement Mzize, wamekata kiu ya mashabiki wa Yanga baada ya kufanikisha kutwaa Kombe la Shirikisho (FA) katika ...
Makada wa CCM wamezidi kujitokeza kuchukua fomu katika majimbo mbalimbali nchini wakiomba ridhaa ya kukiwakilisha Chama cha ...
Nahodha wa Inter Miami, Lionel Messi, ameonja machungu ya kutolewa kwenye Kombe la Dunia la Klabu baada ya klabu yake ya ...