ニュース
IRINGA; DAKTARI kijana mwenye historia ya kuaminiwa katika uongozi na siasa, Dk Musa Leonard Mdede amechukua rasmi fomu ya kuwania uteuzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea ubunge wa Jimbo la ...
UGANDA : RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni (80), ametangaza rasmi nia ya kugombea tena urais katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Januari mwaka ujao, hatua itakayomfanya kuongeza muda wake wa ...
DAR ES SALAAM: KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Emmanuel Mkuchu, amekamilisha hatua ya awali ya kugombea nafasi ya udiwani kwa kurejesha fomu ya kuwania nafasi hiyo katika Kata ya Kunduchi, jijini ...
DAR-ES-SALAAM : CHAMA cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA) kimepata Mwenyekiti mpya wa Bodi, Dk Kaanaeli Kaale, ambaye ...
IRINGA: Mdau wa maendeleo Aidan Damian Mlawa amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kuwania ...
Kwa upande wake, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wafanyabiashara wa China nchini Tanzania, Juma Sharobaro, amesema zaidi ya kampuni ...
MIDO ya boli wa timu ya wanaume ya Kurugenzi ya Habari ya Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) , Antipas Kavishe (kushoto) ...
DAR ES SALAAM: MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba kwa mwaka ...
MTWARA: MASHIRIKA mbalimbali yasiyo ya Kiserikali (NGOs) mkoani Mtwara yametakiwa kuanza kutengeneza mkakati wa kutumia ...
WATU 37 wamepoteza maisha na wengine 29 kujeruhiwa katika ajali mbaya ya barabarani iliyotokea jioni ya Juni 28, 2025, katika ...
SHINYANGA: Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga, Salome Makamba amechukua fomu kuomba kuteuliwa kugombea ubunge ...
TEHRAN : SERIKALI ya Iran imetangaza kutokuwa na imani na hatua ya Israel ya kutangaza usitishaji wa mapigano, ikisema bado ina shaka juu ya dhamira ya taifa hilo hasimu katika kuhitimisha mzozo ...
一部の結果でアクセス不可の可能性があるため、非表示になっています。
アクセス不可の結果を表示する