ニュース
RAIS wa Yanga, Hersi Said amesema anadaiwa ahadi moja kati ya tano walizoahidi walipopewa ridhaa ya kuongoza klabu hiyo.
“SISI ndio Wananchi...sisi ndio mabingwa...Aviola umetusikia...” Hizo ni baadhi ya nyimbo zilizohanikiza paredi la kihistoria ...
Uongozi wa klabu ya Yanga umeahidi usajili bora zaidi msimu ujao na kuweka wazi kuwa hakuna timu ya kuwashusha kwa mafanikio ...
SPORTING Lisbon imeambia Arsenal haiwezi kushusha kabisa bei inayomuuza straika wake wa mabao Viktor Gyokeres baada ya ...
KATIKA historia ya soka duniani majina ya makocha wakubwa huandikwa kutokana na mataji waliyoshinda, timu walizopita na nyota ...
DIRISHA hili la usajili linarajia kupamba moto zaidi kwenye klabu za Ligi Kuu England kuanzia wiki hii baada ya awali ...
WAKATI mabosi wa Singida Black Stars wakimpigia hesabu mshambuliaji nyota wa Berekum Chelsea ya Ghana, Stephen Amankonah kwa ...
NDO hivyo. Kiungo, Thomas Partey ameondoka kwenye klabu ya Arsenal baada ya mkataba wake kufika ukomo, jana Jumatatu, ...
KIPA wa Pamba Jiji, Yona Amos aliyemaliza nafasi ya nne kwa makipa waliokuwa na ‘clean sheets’ nyingi baada ya Moussa Camara ...
MANCHESTER United huenda ikalazimika kutumia pesa nyingi sana kwenye dirisha hilo la usajili kuwalipa wachezaji ambao inataka ...
STRAIKA Joshua Ibrahim aliyejiunga na Namungo katika dirisha dogo Januari, mwaka huu kutokea KenGold, kwa sasa imebaki yeye ...
BAADA ya mshambuliaji wa JKT Tanzania, Charles Ilanfya kukaa nje kwa msimu mzima akiuguza jeraha la goti la kulia aliloumia ...
一部の結果でアクセス不可の可能性があるため、非表示になっています。
アクセス不可の結果を表示する