Mbio za uchaguzi mkuu wa Kenya unaotarajiwa kufanyika mwaka 2022 zimezidi kupamba moto nchini humo, wakati Rais Uhuru Kenyatta akijaribu kufanya mabadiliko ya mfumo wa uongozi ambao utaondoa ghasia za ...
Huku siasa kuhusu uhamasishaji juu ya mchakato wa ripoti ya Jopo la maridhiano nchini Kenya (BBI) zikichacha, kumezuka tofauti kati ya wanasiasa wakuu nchini Kenya kuhusiana na mbinu na njia za ...
Uamuzi wa Mahakama ya Juu nchini Kenya kuukataa mchakato na mpango wa maridhiano ya kisiasa, maarufu kama BBI, ulioasisiwa na Rais Uhuru Kenyatta na aliyekuwa hasimu wake mkuu, Raila Odinga umeibua ...
Kama kunalo fungu la watu ambao wamechezwa shere miaka mingi katika mipangilio ya mfumo unaoletwa na mapendekezo ya BBI, bila shaka ni Wakenya wanaoishi jimbo zima la pwani ya Kenya. Wameshuhudia BBI ...
Naibu Rais William Ruto na Kasisi Peter Kania, katibu wa PCEA, kwenye hafla ya kuadhimisha miaka 50 ya kanisa hilo eneo. [Picha, Standard] Hata kabla ya ripoti kamili kutolewa, tayari Rais Uhuru na ...
Waasisi wakuu wa Ripoti ya BBI, rais Uhuru Kenyatta na kiongozi wa upinzani Raila Odinga walitarajia kuwa matokeo yake yangeleta mshikamano wa taifa na kuondoa misuguano ya kisiasa na kikabila. Hata ...
Uamuzi wa BBI unaosubiriwa kwa hamu unatarajiwa kutolewa hii leo katika mahakama ya rufaa Katika mawasiliano kwa pande husika, mahakama hiyo inasema uamuzi huo utasomwa na majaji saba. Hatahivyo, ...
Uamuzi huo umetolewa na Majaji Sita kati ya Saba waliokuwa wanasikiliza kesi ya rufaa iliyokuwa imewasilishwa na wanaounga mkono mchakato huo. Wakiongozwa na Jaji Daniel Musinga rais wa Mahakama hiyo, ...
Mawakili mashuhuri nchini humo wamekuwa wakipambana kwa hoja , kila upande ukitetea maamuzi yake sasa Majaji ndio wanaosubiriwa kutoa uamuzi. Mawakili wa upande wa utetezi wa wakiongozwa na rais wa ...